KUTOKA KWA FEZA KESSY WA BBA KUJA KWA WATANZANIA WOTE
Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania hatimaye baada ya kutoka kwenye jumba la Big brother,ametumia muda wake kutoa shukrani zake kwa watu wote ambao walimpa support muda wote ambao alikuwa ndani ya BBA.
....SOMA ZAIDI....Feza ambaye alitoka baada ya kupata kura chache dhidi ya Cleo na
Dillish,kwenye ukurasa wake wa facebook aliandika “I’m almost speechless
thank you so much for your support guys.It means a lot.Mad Love. I’m
forever grateful”
No comments:
Post a Comment