HATARII....HUYU NDO MWANAUME MLEMAVU ANAYE FANYA KILA MBINU ILI AWE MWANAMKE
Piyah
Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume
mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na
miguu.
Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa
anapenda kuwa wa kike.
Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua nguo za
kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya kuwekewa homoni za
kike ili awe mwanamke kamili
HATARII....HUYU NDO MWANAUME MLEMAVU ANAYE FANYA KILA MBINU ILI AWE MWANAMKE
Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa
akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika
uti wake wa mgongo na miguu.
Mwanaume huyo anatamani na anapenda kuwa mwanamke aliwaambia wazazi wake kuwa anapenda kuwa wa kike.
Piyah kwa kusisitiza hilo pindi alipotimiza miaka 15 alianza kununua
nguo za kike na kuzivaa na sasa anafanyiwa mpango wa kuanza tiba ya
kuwekewa homoni za kike ili awe mwanamke kamili
- See more at:
http://www.thechoicetz.com/2013/08/hatariihuyu-ndo-mwanaume-mlemavu-anaye.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FGDSbw+%28TheCHOICE%29#sthash.LOh86JN0.dpuf
No comments:
Post a Comment