Umesikia kilichofanywa na Steve R’n'B na Mr Blue kwenye single yao ya pili kushirikiana? isikilize hapa
Ni uhakika kwamba baada ya kufanya ile hit ya ‘Tabasamu’ ukiambiwa
leo wamefanya tena single nyingine Steve R’n'B NA Mr Blue lazima
ushawishike kuisikiliza, kujua kimefanywa nini ndani…. karibu uisikilize
hapa chini..
No comments:
Post a Comment