Umeshawahi kumsikia akiongea mtu alietajwa kufa akafufuka? #Msukule
.Hekaheka ni kipengele ndani ya show ya Leo Tena Clouds FM
ambacho huwa kinadili na mikasa ya mitaani na ya ndani kabisa… leo July 3
mtangazaji Dina Marios amefanya mahojiano mafupi na Mtanzania ambae
amewahi kuchukuliwa kama msukule, ni zile imani za kishirikina ambapo
mtu anatangazwa kafariki lakini sio kweli….. huyu jamaa alishawahi
kutangazwa amekufa, msiba ukafanyika kabisa nyumbani.
No comments:
Post a Comment