Picha ya siku,Kama huyu anaweza kutunza mazingira hakuna sababu ya wewe kushindwa.
Huyu ni kunguru ambaye alifumwa akiokota kopo la soda likiwa
limezagaa na akaamua uliokota na kuliweka mahali sahihi kwenye ndoo
maalum ya taka taka yaani ‘Dust Bin’. Wakati mwingine si vibaya kufuata
mfano wa viumbe hai tofauti na wanadamu.
No comments:
Post a Comment