PHOTOS AND VIDEO : UZINDUZI WA MSASANI SHOPPING MALL
Msasani shopping mall ilifunguliwa jana huku wasanii wakali kama
Diamond, Dull, Shetta wakitoa show kali kwa wakazi walioweza kufika
kwenye jengo hilo. Baadhi ya maduka ambayo yapo kwenye hiyo shopping mall ni
Slash,lifestyle,shoemart,babyshop,max na mengineo mengi. Jengo lipo
karibu na ubalozi wa Marekani.
No comments:
Post a Comment