LIVERPOOL WAENDELEZA VURUGU KWENYE USAJILI: WAKAMILISHA USAJILI WA MCHEZAJI WA NNE - GOLIKIPA MIGNOLET WA SUNDERLAND
Liverpool wamekamilisha usajili wa nne katika dirisha hili la usajili baada ya kutangaza kukamilisha usajili wa golikipa Simon Mignolet kutoka Sunderland kwa ada ya uhamisho ya £9million.
Golikipa
huyo amekuwa akitamaniwa na Brandan Brendan Rodgers kwa muda mrefu, na
sasa anatajwa kuja kuchukua nafasi ya kwanza kwenye kikosi cha Liverpool
mbele ya Pepe Reina.
No comments:
Post a Comment