Exclusive: Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali.
Baada ya kufanya vizuri na filamu yake ya maduhu,
hatimaye mwigizaji Simon Mwapagata ameanza kutengeneza Filamu yake mpya
aliyowashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo mrembo kipenzi cha wengi
Wema Abraham Sepetu.
Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu hiyo unaoendelea
maeneo mbalimbali ya jijini Dar es salaam, Rado (Simon Mwapagata)
amesema kuwa Filamu hiyo itafanyika mjini Dar es Salaam na baadaye
mkoani Tanga.
Ndani ya Filamu hiyo, yupo mwigizaji mwingine mkongwe Deogratious Shija na Sudi…
Tazama picha za utengenezaji wa Filamu hiyo hapo
No comments:
Post a Comment