.Huu ndio mkoko mpya ambao model yake ni ya 2013, ni Opel Insignia na bei yake ni pound elfu 42.
2013 unazidi kuwa mwaka wa
mastaa wa Nigeria kununua magari ya kifahari na yaliyotengenezwa hivi
karibuni ambapo leo kwenye headlines muhusika mkuu ni mchekeshaji aitwae
Basket Mouth akiwa ni staa ambae Nigeria imemfahamu kutokana na
uchekeshaji wake.
Imeripotiwa na Linda kwamba
hili gari Basket alitoa oda kiwandani na hakuna gari kama hili Africa
ikiwa ni siku chache tu amelinunua baada ya kukamilisha ujenzi wa hii
nyumba hapa chini ya mamilioni ya Naira zawadi kwa mama yake mzazi
maarufu kama Madam Okpocha.
.
.
No comments:
Post a Comment