Flaviana Matata ala shavu, ashiriki kwenye matangazo ya Diesel + Edun
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Flaviana Matata ameshiriki
katika kampeni za matangazo makubwa ya makampuni ya nguo ya DIESELna EDUN.
Kampeni ya DIESEL + EDUN ilianzishwa mwaka jana mwezi wa kwanza ambapo
muanzilishi wa kampuni ya DIESEL – Renzo-Ali hewson walisafiri hadi nchi ya Uganda na Mali kuangalia wakulima wa pamba na wakaamua kutengeneza nguo kwa kutumia hizo pamba ili kuwanufaisha hao wakulima.
No comments:
Post a Comment