Baadhi
ya washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya
usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla
ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam mapema
hii leo.
Mshindi
wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa
picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia
katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29.
This is the dramatic moment when drug smugglers set fire to a ship
carrying more than £50 million worth of hashish after being spotted by
customs officials.