Pages

Thursday, August 15, 2013

Mambo ya Digitali yanapomuumbua star wa Muziki.



Iphone inapotumika kupromote Samsung Galaxy S4. 
Mwanamuziki wa miondoko ya Pop ambaye aliwahi kuwa mwimbaji kiongozi wa kundi La The Pussycat Dolls Nicole Scherzinger wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka .
..SOMA ZAIDI.....

President Uhuru Tells Senator To Stop Calling Him 'Mtukufu Rais'

President Uhuru Kenyatta on Tuesday told Kiambu Senator Kimani Wamatangi to stop giving him 'unwarranted titles', the Star is reporting.

USEMI WA NILIKUFA NIKAFUFUKA WA MWAKYEMBE WAANZA KUTIMIA,SASA ATUA AIRPORT DSM GHAFLA KUSAKA WAUZA UNGA


(picha kwa hisani ya ITV)
Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe  amefanya ziara ya kushtukiza kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere  jijini Dar-es-Salaam
..SOMA ZAIDI...

NJAA YA MADENI YAENDELEA KUMTESA SHILOLE,SASA APIGWA KICHAPO HEAVY KWA DENI HILI

Msanii nyota kwenye tasinia ya muziki na filamu bongo Zuwena Mohamed “ Shilole” mwishoni mwa wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kutiwa mtu kati na wakina dada waliokuwa wanamdai kiasi kikubwa cha pesa.
...SOMA ZAIDI...

DUHHH!!! KAMPUNI YA BLACKBERRY IPO HOI,SASA INATEGEMEWA KUUZWA KWA BEI CHEE


Picture: BlackBerry Porsche Design
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Shirika la habari la Reuters limeripoti siku ya Jumatatu ya wiki hii kuwa iliyowahi kuwa ya kwanza kabisa kutoa simu za kisasa 'smart phones' na kusoma barua pepe 'first smartphones and email pagers' kampuni kubwa na maarufu sana ya simu, BlackBerry (asili yake Canada) huenda ikajiweka sokoni 
......SOMA ZAIDI....

MFAHAMU DANIEL GUDIOTTI NYOTA WA MY ETERNAL


Daniel Guidotti, ni jina lilijozolea umaarufu mkubwa duniani kote hususani kwa wadau wa tamthilia za kifillipino.
...SOMA ZAIDI....